Mahojiano: Okamoto Ryuta
Pia tutazungumza na Okamoto Ryuta, mfanyakazi wa zamani wa JICA nchini Tanzania. Kwa sasa anajaribu kufanya kazi kwa karibu na wakulima kadhaa nchini Tanzania. Fuatilia kujua namna anavyofanya nao kazi.

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.
Okamoto Ryuta