Mgeni wetu ni Moyo Muya
Pia utasikia mahojiano kati yetu na Moyo Muya, raia wa Tanzania ambaye pia ni msanii anayefanya kazi nchini Japani.

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia maoni na ujumbe wa wasikilizaji uliotumwa katika mitandao ya kijamii ya Idhaa ya Kiswahili ya NHK.
Moyo Muya (kushoto) akiwa kazini na wenzake nchini Japani
Moyo Muya (kushoto) akiwa na familia yake
Baadhi ya kazi za sanaa za Moyo Muya
Baadhi ya kazi za sanaa za Moyo Muya