Oktoba 18, 2020
Mgeni wetu ni Kenneth Ngari Ogendo kutoka Kenya. Ogendo anaendesha kampeni ya Dr. Fever Project inayohusisha uhamasishaji wa umma juu ya namna ya kutumia kipimajoto kupima halijoto yao kwa usahihi.
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.
Kenneth Ngari Ogendo anayeendesha mradi wa Dr. Fever Project nchini Kenya.
Kenneth Ngari Ogendo akimfunza raia namna ya kutumia kipimajoto kupima halijoto yake ya mwili.