Mgeni wetu ni Bi. Yumiko.
Katika sehemu ya pili ya mahojiano, Bi. Yumiko atasimulia dhamira ya kuandika vitabu vyake viwili, kimoja kikihusu simulizi za watoto.

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.
Bi.Yumiko na mumewe Bw. Shimaoka Tsuyoshi.
Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani
Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani
Wasanii wa michoro ya tinga tinga, Tanzania