Ripoti TICAD
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuletea ripoti kuhusu mkutano wa saba wa kimataifa juu ya maendeleo ya Afrika, TICAD7 uliofanyika mjini Yokohama Agosti, 2019. Martin Mwanje amezungumza na Rose Nathike Lokonyen na Dk. Tegla Loroupe juu ya wakimbizi na michezo.
Rose Nathike Lokonyen
Dk. Tegla Loroupe akizungumza na Martin Mwanje