Nyatiti-Soran in Nagano
Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali tunavyovitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuletea ripoti juu ya tamasha maalum ambako Anyango, Balozi Maalum wa Utamaduni wa Kenya na Japani, alicheza Nyatiti Soran kwa pamoja na watoto kutoka mji wa Nagano.
Bi. Tsurue Dazai na Martin Mwanje