Vidokezo katika jamii ya Kijapani

Vidokezo katika jamii ya Kijapani

Kitaangazia maneno ya msingi kama vile "uwiano wa maisha na kazi" na "bima kwa ajili ya uangalizi" kutoka kwenye vitabu vya kiada vya darasa la kateika linalofundisha shughuli mbalimbali za nyumbani katika shule za Kijapani. Kwa kuzingatia maana na chimbuko la maneno kama hayo kupitia takwimu na mahojiano, kipindi hiki kinaangazia maisha ya kila siku nchini Japani.