Mahojiano: Njeri Kagema

dk26 sek22
Inapatikana hadi Mei 14, 2023

Sikiliza mahojiano na Njeri Kagema ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Walimu wa Lugha ya Kijapani nchini Kenya, JALTAK. Njeri amevalia njuga uhamasishaji wa Kijapani nchini Kenya, na amekuwa mstari wa mbele kuandaa Shindano la Utoaji Hotuba kwa Kijapani linalofanyika kila mwaka nchini humo.