Mahojiano: Prof. Sakamoto Kumiko na Mchoraji Francis Imanjama

dk20 sek19
Inapatikana hadi Aprili 16, 2023

Sikiliza mahojiano na Prof. Sakamoto Kumiko wa Chuo Kikuu cha Utsunomiya na mchoraji Mtanzania, Francis Imanjama. Wawili hao wanazungumzia kitabu chao kiitwacho, "Ngoma za Ajabu za Nyota, Hadithi ya Kijiji Kimoja nchini Tanzania."