Mahojiano: Prof. Sakamoto Kumiko wa Chuo Kikuu cha Utsunomiya

dk19 sek59
Inapatikana hadi Aprili 9, 2023

Sikiliza mahojiano na Prof. Sakamoto Kumiko wa Chuo Kikuu cha Utsunomiya, UU ambaye amekuwa akiendesha mradi unaohusisha vyuo vikuu 7 kutoka Japani na Afrika ili kuendeleza rasilimali watu. Mwezi Machi, aliandaa mkutano uliojulikana kama "UU-A Student Summit 2022" uliohudhuriwa na wanafunzi 53 kutoka Japani na Afrika waliowasilisha mada mbalimbali.