Swinky anaimba"Maua yatachanua" kwa Kiswahili

dk4 sek29
Inapatikana hadi Machi 31, 2023

Tetemeko Kubwa la Ardhi Lililotokea Mashariki mwa Japani Machi, 11, 2011, lilisababisha jumla ya watu zaidi ya 18,400 kufariki au wengine kutojulikana walipo. Mwaka 2012, NHK ilitayarisha wimbo wa kusaidia urejeleaji hali ya kawaida, "Hana wa Saku (Maua yatachanua)" ili kuwatia moyo manusura na kusaidia ujenzi mpya wa maeneo yaliyoathiriwa. Mwaka 2021, NHK itatayarisha wimbo wa "Hana wa Saku" katika lugha mbalimbali.