dk1 sek00
Ubainifu wa Virusi vya Korona
dk1 sek00


Inapatikana hadi Mei 28, 2021

Punguza hatari ya maambukizi kwa kuua vijidudu maradhi kwenye maeneo yote ya nyumbani kwako. Uchunguzi katika meli ya Diamond Princess unaonesha sehemu ambazo virusi vinaweza kupatikana.