dk1 sek00
Virusi vya korona na “Nimonia fiche”
dk1 sek00


Inapatikana hadi Mei 28, 2021

“Nimonia fiche” inaweza kuwa dalili ya visa vya COVID-19 visivyo na dalili kali ambavyo ghafla huwa na dalili kali. Dalili za nimonia zilikutwa kwa kama nusu ya wagonjwa wasio au wenye dalili zisizo kali kwenye meli ya kitalii ya Diamond Princess.