#1 Nyumba ya Haru-san iko wapi?

Jifunze namna ya kuulizia mahali. Ukitaka kujua mahali kitu kilipo, sema tu "wa doko desu ka" baada ya jina lake. “Haru-san-hausu wa doko desu ka” inamaanisha "Nyumba ya Haru-san iko wapi?"

Transcript