Semi za Kijapani

Semi za Kijapani

Kipindi hiki kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani na maana na matumizi yake, lakini pia kupitia kipindi hiki utaweza kujifunza lugha ya Kijapani pamoja na kukutana na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili.