Kifahamu Kijapani

Kifahamu Kijapani

Hiki ni kipindi cha redio cha Jifunze Kijapani kupitia taarifa za habari kuhusu Japani.
Tunachukua taarifa zilizozungumzwa kwa Kijapani na kukupa maelezo yake ya kina sambamba na baadhi ya misemo inayotumika.