Jifunze Kijapani

Jifunze Kijapani

Mfululizo mpya wa masomo ya Kijapani. Sikiliza kila wiki kipindi cha dakika 10 au tazama mtandaoni. Kwa wiki 48 utajifunza msingi wa lugha hii na kuwa tayari kwa mazungumzo mbalimbali. Semi za msingi zinakuwemo kwenye mazungumzo ya kufurahisha na rahisi kukumbuka. Aina zote za taarifa za kusafiri pia zimo, sambamba na chambuzi katika utamaduni na desturi. Sikiliza na anza kuzungumza Kijapani.