audio
Okidoro
Rakugo
dk08 sek04

Siku ya kutangaza Septemba 14, 2020
Inapatikana hadi Septemba 14, 2021

Kipindi hiki kinakuletea simulizi za kitamaduni za Rakugo za Japani. Hadithi yetu ya leo ni "Okidoro."

photo