audio
San nin yoreba monju no chie
Semi za Kijapani
dk07 sek51

Siku ya kutangaza Aprili 9, 2021
Inapatikana hadi Aprili 9, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani. (Kipindi hiki kilitangazwa Aprili 2, 2021.)

photo