audio
Sankan Shion
Semi za Kijapani
dk09 sek15

Siku ya kutangaza Machi 26, 2021
Inapatikana hadi Machi 26, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani. (Kipindi hiki kilitangazwa Machi 19, 2021.)

photo