audio
Akusen mi ni tsukazu
Semi za Kijapani
dk09 sek22

Siku ya kutangaza Machi 12, 2021
Inapatikana hadi Machi 12, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani.
(Kipindi hiki kilitangazwa Machi 5, 2021.)

photo