audio
Inonaka no kawazu taikai wo shirazu
Semi za Kijapani
dk09 sek28

Siku ya kutangaza Februari 26, 2021
Inapatikana hadi Februari 26, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani.
(Kipindi hiki kilitangazwa Feburari 19, 2021.)

photo