audio
Ichinen no kei wa gantan ni ari
Semi za Kijapani
dk09 sek20

Siku ya kutangaza Januari 29, 2021
Inapatikana hadi Januari 29, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani. (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 22, 2021.)

photo