audio
Abata mo ekubo
Semi za Kijapani
dk09 sek17

Siku ya kutangaza Januari 15, 2021
Inapatikana hadi Januari 15, 2022

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani. (Kipindi hiki kilitangazwa Desemba 18, 2020.)

photo