audio
Kawaii ko niwa tabi o saseyo
Semi za Kijapani
dk09 sek05

Siku ya kutangaza Desemba 11, 2020
Inapatikana hadi Desemba 11, 2021

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani.
(Kipindi hiki kilitangazwa Desemba 4, 2020.)

photo