audio
Me wa kuchi hodo ni mono o iu.
Semi za Kijapani
dk09 sek12

Siku ya kutangaza Novemba 27, 2020
Inapatikana hadi Novemba 27, 2021

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani.

(Kipindi hiki kilitangazwa Novemba 20, 2020.)

photo