audio
Nasake wa hito no tamenarazu
Semi za Kijapani
dk07 sek11

Siku ya kutangaza Novemba 13, 2020
Inapatikana hadi Novemba 13, 2021

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani. (Kipindi hiki kilitangazwa Novemba 6, 2020.)

photo