audio
Hito no Uwasa mo Shichijuugo Nichi
Semi za Kijapani
dk09 sek15

Siku ya kutangaza Oktoba 30, 2020
Inapatikana hadi Oktoba 30, 2021

Kipindi kipya cha Semi za Kijapani kinakupa mwanya wa kutanabahi misemo ya Kijapani, maana na matumizi yake, huku kujifunza lugha na tamaduni za Japani sambamba na kukutana na misemo na maneno yanayofanana na yale ya Kiswahili. Mwalimu Kadoya Masaaki ndiye anayetuongoza darasani

(Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 23, 2020.)

photo