audio
"mchana"
Domo! Fahamu Japani kupitia maneno yanayofanana
dk07 sek09

Siku ya kutangaza Juni 5, 2020
Inapatikana hadi Juni 5, 2021

Tujifunze lugha na tamaduni za Japani kupitia maneno ya Kijapani yanayofanana na Kiswahili katika matamshi. Leo tutajifunza neno "Mchana." (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 31, 2020.)

photo