audio
"Mada"
Domo! Fahamu Japani kupitia maneno yanayofanana
dk04 sek12

Siku ya kutangaza Mei 22, 2020
Inapatikana hadi Mei 22, 2021

Tujifunze lugha na tamaduni za Japani kupitia maneno ya Kijapani yanayofanana na Kiswahili katika matamshi. Leo tutajifunza neno "Mada." (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 10, 2020.)

photo