audio
Usifute Michoro ya Watoto (Makorokocho)
Fasihi
dk15 sek37

Siku ya kutangaza Julai 25, 2020
Inapatikana hadi Agosti 8, 2021

Binti aitwaye Chiko anaiona michoro ya nyumba aliyoichora akiwa mtoto na kuanza kuongeza mlango. Na mara bi kizee mdogo mno anatoka nje ya mlango! Chiko anasikiliza matakwa ya bi kizee na kuchora vitu mbalimbali kwenye mchoro huo… Hadithi imeandikwa na mwandishi wa fasihi za watoto na mshindi wa tuzo ya Hans Christian Andersen, Kadono Eiko.
(Kipindi hiki kilitangazwa Julai 11, 2020.)

photo