audio
Duka la Ajabu la Hadithi za Uongo
Fasihi
dk19 sek21

Siku ya kutangaza Julai 4, 2020
Inapatikana hadi Julai 18, 2021

"Duka la ajabu la hadithi za uongo" linaendeshwa na bi kizee mmoja mfupi, anayevalia gauni lenye mifuko mingi. Siku moja mvulana anakuja dukani kuulizia hadithi za uongo. Bi kizee anatafuta mifukoni na kusema, "Ah, hii ni nzuri! Hii ni hadithi mpya ya uongo." Na kisha anaanza kusimulia hadithi yake ya uongo. Simulizi imeandikwa na mwandishi wa fasihi za watoto Kadono Eiko, mshindi wa tuzo ya Hans Christian Andersen inayojulikana kama tuzo ya Nobel Prize ya fasihi ya watoto, au tuzo ndogo ya Nobel.

photo