audio
Mateusz Majewski: Mfanyakazi katika Duka la Miwani
Kazini nchini Japani
dk10 sek01

Siku ya kutangaza Septemba 23, 2020
Inapatikana hadi Oktoba 7, 2021

Kazini nchini Japani - hiki ni kipindi kinachomulika maisha ya watu kutoka kote duniani walioifanya Japani kuwa kazini kwao. Safari hii, tunakutana na kijana kutoka Poland anayefanya kazi katika duka la miwani huko Kitakyushu. (Kipindi hiki kilitangazwa Septemba 9, 2020.)

photo Mateusz anafanya kazi katika duka la miwani. Anataka kusaidia watu kupitia kazi yake. photo Mateusz na rafikiye wa dhati anayefanya naye kazi. photo Mateusz anasema anataka kuwafurahisha wateja kwa kumakinikia zaidi mahitaji na upendeleo wao.