audio
Kuzifikia Nyota! Kusaidia Kuwafunza Wanamichezo Wenye Ulemavu wa Macho nchini Laos
Bega kwa bega
dk10 sek34

Siku ya kutangaza Machi 23, 2021
Inapatikana hadi Machi 23, 2022

Kipindi cha Bega kwa Bega kinakukutanisha na wanaume na wanawake Wajapani wanaoishi kwenye nchi zinazoendelea, wakishughulikia matatizo mbalimbali pamoja na wenyeji. Katika kipindi hiki utamsikia Hane Hiroyuki, anayewafundisha wanariadha wenye ulemavu katika nchi ya Laos, kusini mashariki mwa Asia. Hane, mwenye ulemavu wa mkono wa kushoto, pia alikuwa mwanamichezo mwenye ulemavu. Akiishi Laos tangu mwaka 2015, anawahangaikia wanamichezo wenye matatizo ya macho kufikia mashindano ya kimataifa. (Kipindi hiki kilitangazwa Julai 2, 2020.)

photo Hane Hiroyuki anawafunza wanariadha wenye ulemavu wa macho, akiwafundisha jinsi ya kutumia mwili wake hatua kwa hatua. photo Hane Hiroyuki photo Bounphet Thepthida mmoja wa wanamichezo wanaofundishwa na Hane.