audio
Karatasi za Jeli za Kupooza Joto
Uvumbuzi kutoka Japani
dk11 sek28

Siku ya kutangaza Julai 22, 2020
Inapatikana hadi Agosti 5, 2021

Simulizi kuhusu bidhaa maarufu na uvumbuzi kutoka Japani: Hiki ni kipindi cha uvumbuzi kutoka Japani. Wakati tunakutambulisha, karatasi za jeli za kupooza joto, ambazo zinaweza kuwekwa kwenye paji la uso kwa ajili ya kushusha homa. Karatasi hizi zimevumbuliwa Japani mwaka 1994, na zilihamasishwa na chakula fulani cha baa! Karatasi hizo sasa zinauzwa kwenye nchi na maeneo 20, na karibu karatasi milioni 400 zinauzwa kwa mwaka. Ungana nasi kugundua simulizi kuhusu karatasi hizo za Japani.
(Kipindi hiki kilitangazwa Julai 8, 2020.)

photo Karatasi za jeli za kupooza joto photo Miyanishi Kazuhito, mmoja wa wanatimu ya uvumbuzi photo Bidhaa hizo kwenye maeneo mbalimbali duniani photo Mtoto akitumia karatasi ya jeli ya kupooza joto