audio
Dominique Chen ~Mwanasayansi wa Habari~
Mahojiano ya kina
dk11 sek08

Siku ya kutangaza Aprili 15, 2021
Inapatikana hadi Aprili 15, 2022

Dominique Chen, mtafiti kinara wa teknolojia ya kidijitali na masomo ya ustawi, anatoa vidokezo kuhusu namna ya kutumia teknolojia za kidijitali ili kuwa na furaha katika maisha yetu. (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 7, 2019.)

photo Dominique Chen / Mwanasayansi wa Habari