audio
Saengduean Chailert ~Mwanaharakati wa Hifadhi ya Tembo Kaskazini mwa Thailand~
Mahojiano ya kina
dk10 sek48

Siku ya kutangaza Desemba 17, 2020
Inapatikana hadi Januari 7, 2022

Saengduean Chailert ni mwasisi wa Hifadhi ya Asili ya Tembo kaskazini mwa Thailand inayohudumu kama makazi ya tembo wa bara la Asia. Chailert anatuambia juu ya azimio lake kama msimamizi aliyejitoa wa wanyama hao barani Asia. (Kipindi hiki kilitangazwa Disemba 3, 2020.)

photo Saengduean Chailert / Mwanaharakati wa Hifadhi ya Tembo Kaskazini mwa Thailand.