audio
Paula Ingabire ~Waziri wa ICT na Uvumbuzi, Rwanda~
Mahojiano ya kina
dk11 sek45

Siku ya kutangaza Novemba 19, 2020
Inapatikana hadi Desemba 3, 2021

Huku ikifurahia ukuaji mzuri wa kiuchumi miaka ya hivi karibuni, Rwanda inajikita katika sera endelevu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ICT. Mwanamke aliyeteuliwa kama Waziri wa ICT na Uvumbuzi akiwa na umri wa miaka 35 tu anazungumzia mustakabali wa ICT. (Kipindi hiki kilitangazwa Novemba 5, 2020.)

photo Paula Ingabire ~Waziri wa ICT na Uvumbuzi, Rwanda