audio
Mitch Albom ~Mwandishi wa Kitabu Kinachouzwa Zaidi, Mhisani~
Mahojiano ya kina
dk14 sek33

Siku ya kutangaza Oktoba 22, 2020
Inapatikana hadi Novemba 5, 2021

Mitch Albom alianza mfululizo wake wa "Human Touch," Aprili, 2020. Mapato yaliyotokana na kitabu chake cha mtandaoni na sauti kinachozungumzia namna watu mjini Detroit wanavyopambana na janga yanafadhili uhisani wake. Albom anazungumzia mfululizo wake huo na sababu za kuweza kutoa msaada kwa watu wengi katika kipindi cha muda mfupi. (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 8, 2020.)

photo Mitch Albom ~ Mwandishi wa kitabu kinachouzwa zaidi, mhisani.