audio
Houriya Taheri ~ Kocha wa Kwanza Mwanamke Aliyepewa Leseni na FIFA, Mashariki ya Kati
Mahojiano ya kina
dk10 sek29

Siku ya kutangaza Septemba 17, 2020
Inapatikana hadi Oktoba 1, 2021

Houriya Taheri ni kocha wa kwanza wa soka mwanamke aliyepewa leseni ya FIFA ya daraja 'A' Mashariki ya Kati. Katika mazingira ambapo wanamichezo wanawake wanakabiliwa na ukomo mablimbali, aliwezaje kufikia upeo huo? Tunamuuliza anachowaza juu ya kutimiza ndoto hiyo. (Kipindi hiki kilitangazwa Septemba 3, 2020.)

photo Houriya Taheri, kocha wa kwanza mwanamke aliyepewa leseni na FIFA, Mashariki ya Kati