audio
Muhammad Yunus - Mwasisi wa Benki ya Grameen
Mahojiano ya kina
dk13 sek19

Siku ya kutangaza Januari 28, 2021
Inapatikana hadi Aprili 8, 2022

Mchumi wa Bangladesh Muhammad Yunus ameshinda tuzo ya Nobel kwa kutengeneza mfumo wa "microcredit" kwa watu masikini. Tunazungumza naye juu ya jitihada yake mpya, ya "biashara ya jamii," inayomfanya asafiri duniani.
(Kipindi hiki kilitangazwa Julai 9, 2020.)

photo Muhammad Yunus, Mwasisi wa Benki ya Grameen