audio
Kusaidiana Katika Nyakati Ngumu
Mambo Leo
dk11 sek40

Siku ya kutangaza Desemba 16, 2020
Inapatikana hadi Desemba 17, 2021

Idadi kubwa ya raia wa kigeni waishio Japani wanatengwa kwa sababu ya janga la virusi vya korona. Kipindi hiki kinaangazia juhudi za Waislamu na jamii ya Bangladesh kuanzisha mifumo ya usaidizi na kusaidiana katika kukabiliana na changamoto mbalimbali. (Kipindi hiki kilitangazwa Disemba 2, 2020.)

photo Video ya mwongozo iliyotengenezwa na Chama cha Waislamu wa Shizuoka ili kuzuia maambukizi ya virusi vya korona msikitini imetazamwa na Waislamu wengi kupitia mitandao ya kijamii. photo Rais wa Chama cha Waislamu wa Shizuoka, Essaadi Yassine na katibu mkuu Essaadi Miwa. photo "Kasha la chakula" limewekwa kwenye mlango wa kuingia msikitini ili kuwasaidia wenye shida ya kupata chakula halali. photo Golam Masum Zico kutoka Bangladesh ameanzisha mtandao wa wanaojitolea kwa pamoja na watu wengine watano ili kutoa msaada wa kitabibu na kimaisha kutoka mbali.