audio
Ujumbe wa Tabibu wa Tiba ya Utulizaji Maumivu Anayepambana na Saratani
Mambo Leo
dk12 sek00

Siku ya kutangaza Juni 24, 2020
Inapatikana hadi Julai 8, 2021

Tunamwangazi Yohei Ohashi, mwenye umri wa miaka 56 anayevutia nadhari kwa utunzi wa kitabu kimoja kinachohusu namna anavyopambana na ugonjwa wake wa saratani. Amekuwa akiwahudumia wagonjwa wa saratani kwa miaka mingi. Mwezi Juni mwaka 2018 aligundulika kuwa na saratani na kiasi kikubwa cha tumbo lake kimeondolewa. Baada ya miezi 10, uvimbe ulionekana umeenea hadi kwenye ini lake. Vitu gani vingine amevibaini kutokana na mtazamo wa mgonjwa? (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 7, 2020.)

photo Yohei Ohashi, Tabibu wa Tiba ya Utulizaji Maumivu