audio
Kuwasilisha ujumbe wa mafunzo yanayohitaji bidii kwa dunia: Kasisi Shionuma
Ana kwa Ana
dk12 sek51

Siku ya kutangaza Mei 28, 2020
Inapatikana hadi Mei 28, 2021

Programu ya kujizuia anasa ya Shugendo milimani yenye asili ya Japani, inahusisha kutembea kwenye njia za milimani zisizo nzuri kwa saa 16 kwa jumla ya siku 1,000. Ryojun Shionuma mwenye umri wa miaka 51 ni mtu wa pili katika historia ya miaka 1,300 ya hekalu la Kinpusen mkoani Nara kumaliza programu hiyo. Tunazungumza na mkuu huyo wa hekalu alichojifunza kutokana na mafunzo hayo yenye kuhitaji bidii pamoja na ujumbe wake kwa dunia. (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 16, 2019.)

photo Ryojun Shionuma, Kasisi Mkuu, hekalu la Jigenji (mji wa Sendai mkoani Miyagi) photo Shionuma akifanya tambiko la maombi ya moto photo Shionuma katika mfunzo ya "siku 1,000" za kuzunguka mlima photo Shionuma akihadhiri New York, Marekani