audio
Mahojiano: Uno Midori
Ukumbi wa Jumapili
dk29 sek00

Siku ya kutangaza Aprili 11, 2021
Inapatikana hadi Aprili 11, 2022

Mgeni wetu katika Ukumbi wa Jumapili ni Uno Midori, Mjapani anayejishughulisha mno na kazi za kufasiri kazi mbalimbali za Kiswahili kwenda katika Kijapani.

photo Uno Midori, mfasiri wa kazi za Kiswahili. photo Uno Midori akiwa katika studio za Redio Japani enzi za ujana wake. photo Uno Midori akishika kitabu alichokifanyia fasiri.