audio
Mahojiano: Rose Peter Funja
Ukumbi wa Jumapili
dk29 sek00

Siku ya kutangaza Aprili 4, 2021
Inapatikana hadi Aprili 4, 2022

Tutakuwa pia na mahojiano na Rose Peter Funja, Mwasisi na Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni inayochipukia ya Agrinfo nchini Tanzania.

photo Rose Peter Funja, Mwasisi na Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Agrinfo nchini Tanzania.