audio
Mahojiano: Tada Kyoko
Ukumbi wa Jumapili
dk29 sek00

Siku ya kutangaza Machi 28, 2021
Inapatikana hadi Machi 28, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Tada Kyoko almaarufu Furaha, Mjapani anayehudumu kama muuguzi katika hospitali ya St. Luke nchini Japani.

photo Tada Kyoko photo photo