audio
Ripoti: Kampuni Zinazochipukia Afrika
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Machi 21, 2021
Inapatikana hadi Machi 21, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia ripoti kuhusu shindano lililofanyika mtandaoni likiwahusisha wajasiriamali wanaochipukia kutoka Afrika.

photo Innocent Menyo, mshindi wa shindano kutoka Uganda. photo Daniel Elliot Kwantwi aliyeibuka wa pili kutoka Ghana photo Wataalam Wajapani walioshiriki shindano.