audio
Mahojiano: Kinyua Laban Kithinji
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Machi 14, 2021
Inapatikana hadi Machi 14, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Kinyua Laba Kithinji, Mtafiti mwalikwa katika Chuo Kikuu cha Hosei nchini Japani.

photo Kinyua Laban Kithinji photo Kinyua Laban Kithinji akiwa shamba la chai mkoani Shizuoka nchini Japani. photo Bustani ya mapumziko nchini Japani