audio
Mahojiano: Swinky
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Machi 7, 2021
Inapatikana hadi Machi 7, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Swinky, msanii wa muziki kutoka Kenya, anayefanya shughuli zake nchini Marekani.

photo Swinky